Ufafanuzi wa nembo katika Kiswahili

nembo

nominoPlural nembo

  • 1

    chale zinazochanjwa usoni au kwenye sehemu nyingine za mwili.

    taruma, chale, gema

  • 2

    alama inayotambulisha k.v. shirika, serikali au chama.

Matamshi

nembo

/nɛmbɔ/