Ufafanuzi msingi wa neno katika Kiswahili

: neno1neno2neno3

neno1

nominoPlural maneno

 • 1

  mkusanyiko wa sauti zinazotamkwa au kuandikwa pamoja na kuleta maana.

Matamshi

neno

/nɛnɔ/

Ufafanuzi msingi wa neno katika Kiswahili

: neno1neno2neno3

neno2

nominoPlural maneno

 • 1

  jambo la maana.

  ‘Nina neno nataka kukupa’
  shauri, jambo

 • 2

  jambo kubwa.

  ‘Ameniletea neno’
  balaa

Matamshi

neno

/nɛnɔ/

Ufafanuzi msingi wa neno katika Kiswahili

: neno1neno2neno3

neno3

nominoPlural maneno

Kidini

Matamshi

neno

/nɛnɔ/