Ufafanuzi msingi wa nevi katika Kiswahili

: nevi1nevi2

nevi1

nominoPlural nevi

  • 1

    meli au vyombo vyote vya majini vinavyotumiwa na taifa kwa ulinzi.

Asili

Kng

Matamshi

nevi

/nɛvi/

Ufafanuzi msingi wa nevi katika Kiswahili

: nevi1nevi2

nevi2

nominoPlural nevi

  • 1

    maofisa na wanajeshi wote wanaohudumia katika vyombo vya majini vya kivita; wanamaji.

  • 2

    kikosi cha jeshi la majini.

Asili

Kng

Matamshi

nevi

/nɛvi/