Ufafanuzi msingi wa ng’amba katika Kiswahili

: ng’amba1ng’amba2ng’amba3

ng’amba1

nominoPlural ng’amba

  • 1

    kasa mwenye magamba kama sandarusi na yanayong’aa.

Matamshi

ng’amba

/ŋamba/

Ufafanuzi msingi wa ng’amba katika Kiswahili

: ng’amba1ng’amba2ng’amba3

ng’amba2

nominoPlural ng’amba

  • 1

    gamba linalotokana na kasa wa aina fulani ambalo hutumiwa kutengenezea vitu k.v. vitana.

Matamshi

ng’amba

/ŋamba/

Ufafanuzi msingi wa ng’amba katika Kiswahili

: ng’amba1ng’amba2ng’amba3

ng’amba3

nominoPlural ng’amba

  • 1

    kipande cha sandarusi chenye picha ambacho hupitishwa baina ya vioo vya projekta.

Matamshi

ng’amba

/ŋamba/