Ufafanuzi wa ng’ambo katika Kiswahili

ng’ambo

nominoPlural ng’ambo

  • 1

    upande wa pili wa mto au barabara, n.k..

    ‘Ng’ambo ya mto’
    ‘Ng’ambo ya bahari’

  • 2

    nje ya mipaka ya nchi, hasa baada ya kuvuka bahari.

Asili

Kar

Matamshi

ng’ambo

/ŋambɔ/