Ufafanuzi wa ng’atua katika Kiswahili

ng’atua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    achilia ulipopauma kwa meno.

Matamshi

ng’atua

/ŋatuwa/