Ufafanuzi wa ng’oa nanga katika Kiswahili

ng’oa nanga

msemo

  • 1

    anza safari; ondoka.

Ufafanuzi wa Ng’oa nanga katika Kiswahili

Ng’oa nanga

msemo

  • 1

    ondoka.