Ufafanuzi wa ng’wenya katika Kiswahili

ng’wenya

kitenzi elekezi

  • 1

    uma kitu kwa meno ya mbele na kukivuta k.v. mtu anapokula embe bichi.

Matamshi

ng’wenya

/ŋwɛɲa/