Ufafanuzi wa ngadu katika Kiswahili

ngadu

nomino

  • 1

    aina ya kaa anayependelea kukaa kwenye mikondo ya bahari au mito.

Matamshi

ngadu

/ngadu/