Ufafanuzi wa ngagu katika Kiswahili

ngagu

nominoPlural ngagu

  • 1

    samaki jamii ya changu mwenye mitai myeusi na myeupe na mara nyingi akivuliwa husikika akitoa sauti ya kikoromo.

Matamshi

ngagu

/ngagu/