Ufafanuzi wa ngamia katika Kiswahili

ngamia

nominoPlural ngamia

  • 1

    mnyama mkubwa kama twiga mwenye nundu, ambaye hutumika katika safari za jangwani.

    bairi, jamali

Asili

Kar

Matamshi

ngamia

/ngamija/