Ufafanuzi msingi wa ngano katika Kiswahili

: ngano1ngano2

ngano1

nominoPlural ngano

  • 1

    hadithi fupi ambazo wazee huwasimulia, agh. watoto.

    hadithi

Matamshi

ngano

/nganɔ/

Ufafanuzi msingi wa ngano katika Kiswahili

: ngano1ngano2

ngano2

nominoPlural ngano

  • 1

    mmea jamii ya nafaka ambao una suke kama la mpunga lenye punje fupi na nene kuliko za mpunga.

Matamshi

ngano

/nganɔ/