Ufafanuzi msingi wa ngao katika Kiswahili

: ngao1ngao2ngao3

ngao1

nomino

 • 1

  kitu bapa chenye mshikio kati kilichotengenezwa kwa ngozi au mti au kitu cha madini na kinachotumiwa kujikingia mkuki au mshale katika mapigano.

Matamshi

ngao

/ngawɔ/

Ufafanuzi msingi wa ngao katika Kiswahili

: ngao1ngao2ngao3

ngao2

nomino

 • 1

  ‘Chama ndicho ngao yetu’
  kinga

Matamshi

ngao

/ngawɔ/

Ufafanuzi msingi wa ngao katika Kiswahili

: ngao1ngao2ngao3

ngao3

nomino

 • 1

  upande wa mbele au wa nyuma wa nyumba.

Matamshi

ngao

/ngawɔ/