Ufafanuzi wa ngapi katika Kiswahili

ngapi

kivumishi

  • 1

    neno linalotumika kuulizia idadi; kiasi gani.

    ‘Je, sasa ni saa ngapi?’
    ‘Je, mko watoto wa ngapi?’

Matamshi

ngapi

/ngapi/