Ufafanuzi wa ngariba katika Kiswahili

ngariba

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutahiri katika jando.

Matamshi

ngariba

/ngariba/