Ufafanuzi msingi wa ngazi katika Kiswahili

: ngazi1ngazi2

ngazi1

nominoPlural ngazi

 • 1

  kitu chenye vidato kilichotengenezwa kwa makusudi ya kupandia juu.

 • 2

  vijidaraja vya kupandia, hasa kwenye nyumba.

Matamshi

ngazi

/ngazi/

Ufafanuzi msingi wa ngazi katika Kiswahili

: ngazi1ngazi2

ngazi2

nominoPlural ngazi

 • 1

  daraja analopewa mtu katika kazi au miongoni mwa jamii.

  cheo

Matamshi

ngazi

/ngazi/