Ufafanuzi wa ngeda katika Kiswahili

ngeda

nomino

  • 1

    nzige wa rangi ya kijani mwenye uwezo wa kuruka kwa masafa marefu.

Matamshi

ngeda

/ngɛda/