Ufafanuzi wa ngeli katika Kiswahili

ngeli

nominoPlural ngeli

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kundi la nomino katika baadhi ya lugha lenye sifa zinazofanana kisarufi.

Matamshi

ngeli

/ngɛli/