Ufafanuzi wa ngisi katika Kiswahili

ngisi

nominoPlural ngisi

  • 1

    mnyama wa baharini mwenye kichwa mfano wa ua lililochanua, mikono kumi mirefu na hutoa kiowevu cha rangi nyeusi.

Matamshi

ngisi

/ngisi/