Ufafanuzi wa ngizi katika Kiswahili

ngizi

nominoPlural ngizi

  • 1

    kinywaji kitamu sana kama asali kinachotokana na tembo la mnazi kabla halijawa kali.

Matamshi

ngizi

/ngizi/