Ufafanuzi wa ngoa katika Kiswahili

ngoa

nomino

  • 1

    hali ya mtu kuona uchungu au chuki kwa kukosa kitu ambacho mwingine amekipata.

    ‘Mwacheni apate, sina ngoa naye’
    wivu, gere, fihi, kijicho