Ufafanuzi msingi wa ngoe katika Kiswahili

: ngoe1ngoe2

ngoe1

nominoPlural ngoe

  • 1

    tawi la mti lililokatwa, lenye panda iliyoangalia chini.

Matamshi

ngoe

/ngɔjɛ/

Ufafanuzi msingi wa ngoe katika Kiswahili

: ngoe1ngoe2

ngoe2

nominoPlural ngoe

  • 1

    mchoro wenye umbo la mti usio na majani unaotumika katika elimu ya hesabu na isimu.

Matamshi

ngoe

/ngɔjɛ/