Ufafanuzi wa ngoeka katika Kiswahili

ngoeka

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~wa

  • 1

    pachika panda ya mti kwenye kitu k.v. embe au chungwa ili kukichuma.

    koeka

Matamshi

ngoeka

/ngɔwɛka/