Ufafanuzi wa ngogo katika Kiswahili

ngogo

nominoPlural ngogo

  • 1

    samaki wa baharini anayefanana na kambare mdogo, mwenye kichwa kikubwa na kiwiliwili chembamba kuanzia shingoni hadi mkiani, miba mitatu yenye sumu kichwani na masharubu manne yanayozunguka mdomo, na ngozi yake ina mistari ya zambarau na manjano toka kichwani hadi mkiani.

Matamshi

ngogo

/ngɔgɔ/