Ufafanuzi wa ngogwe katika Kiswahili

ngogwe

nominoPlural ngogwe

  • 1

    tunda dogo kiasi, jeupe au la kijani, refu na chungu, ambalo hutumiwa kuwa ni mboga.

    nyanyachungu

Matamshi

ngogwe

/ngɔgwɛ/