Ufafanuzi wa ngoja katika Kiswahili

ngoja

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    methali ‘Ngoja ngoja huumiza matumbo’

Matamshi

ngoja

/ngɔʄa/