Ufafanuzi wa ngojea katika Kiswahili

ngojea

kitenzi elekezi

  • 1

    kaa mahali kwa mategemeo ya kuona mtu au kitu fulani.

    subiri

Matamshi

ngojea

/ngɔʄɛja/