Ufafanuzi wa ngoko katika Kiswahili

ngoko

nominoPlural ngoko

  • 1

    sehemu ngumu sana, nyekundu kama nyama mbichi, inayogandama nyuma ya tako la nyani.

  • 2

    bato jekundu.

    mando

Matamshi

ngoko

/ngɔkɔ/