Ufafanuzi msingi wa ngoma katika Kiswahili

: ngoma1ngoma2ngoma3

ngoma1

nomino

 • 1

  ala ya muziki inayotengenezwa kwa kuwambwa ngozi kwenye mzinga.

Matamshi

ngoma

/ngɔma/

Ufafanuzi msingi wa ngoma katika Kiswahili

: ngoma1ngoma2ngoma3

ngoma2

nomino

 • 1

  mchezo wa kufuata mdundo wa ala hiyo.

Matamshi

ngoma

/ngɔma/

Ufafanuzi msingi wa ngoma katika Kiswahili

: ngoma1ngoma2ngoma3

ngoma3

nomino

  Matamshi

  ngoma

  /ngɔma/