Ufafanuzi wa ngono katika Kiswahili

ngono

nominoPlural ngono

  • 1

    zamu ya mume kulala na mkewe.

    unyumba

  • 2

    tendo la mwanamke na mwanamume kujamiiana.

Matamshi

ngono

/ngɔnɔ/