Ufafanuzi wa ngoshi katika Kiswahili

ngoshi

nominoPlural ngoshi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    pembe ya joshi au demani katika tanga la chombo k.v. jahazi.

Matamshi

ngoshi

/ngɔ∫i/