Ufafanuzi wa nguchiro katika Kiswahili

nguchiro

nominoPlural nguchiro

  • 1

    mnyama mdogo wa porini anayefanana na ndezi na ambaye ni hodari wa kuua nyoka na kula mayai.

Matamshi

nguchiro

/ngutʃirɔ/