Ufafanuzi wa nguri katika Kiswahili

nguri

nominoPlural nguri

  • 1

    nyundo ndogo ya mbao kama maleti inayotumiwa katika ufundi wa ushonaji viatu.

Matamshi

nguri

/nguri/