Ufafanuzi wa nguva katika Kiswahili

nguva

nominoPlural nguva

  • 1

    mnyama mkubwa wa baharini anayekula mwani na anayenyonyesha watoto wake na umbo lake limefanana na binadamu.

Matamshi

nguva

/nguva/