Ufafanuzi msingi wa nguvu katika Kiswahili

: nguvu1nguvu2nguvu3

nguvu1

nominoPlural nguvu

 • 1

  uwezo wa kufanya jambo.

  ‘Hana haki lakini anatumia nguvu’
  madaraka, mbinde, mabavu, jari, fosi, satua

 • 2

  uvumilivu wa kuweza kuendeleza jambo.

 • 3

  hima

Matamshi

nguvu

/nguvu/

Ufafanuzi msingi wa nguvu katika Kiswahili

: nguvu1nguvu2nguvu3

nguvu2

nominoPlural nguvu

 • 1

  msukumo mkali unaotokana na nishati.

  ‘Nguvu za umeme’
  ‘Nguvu za maji’
  kani, jasho

Matamshi

nguvu

/nguvu/

Ufafanuzi msingi wa nguvu katika Kiswahili

: nguvu1nguvu2nguvu3

nguvu3

nominoPlural nguvu

Matamshi

nguvu

/nguvu/