Ufafanuzi msingi wa nguzo katika Kiswahili

: nguzo1nguzo2

nguzo1

nominoPlural nguzo

  • 1

    kipande cha mti au chuma kilichosimamishwa wima ardhini ili kuhimili au kushikilia kitu kingine k.v. paa la nyumba, kiambaza au nyaya za umeme.

    ‘Nguzo ya umeme’
    gadi

Ufafanuzi msingi wa nguzo katika Kiswahili

: nguzo1nguzo2

nguzo2

nominoPlural nguzo

Matamshi

nguzo

/nguzɔ/