Ufafanuzi msingi wa ngwe katika Kiswahili

: ngwe1ngwe2

ngwe1

nominoPlural ngwe

  • 1

    sehemu ya shamba iliyopimwa kwa makusudi ya kulima au iliyokwisha kulimwa.

    kuo, mraba

Matamshi

ngwe

/n gwɛ/

Ufafanuzi msingi wa ngwe katika Kiswahili

: ngwe1ngwe2

ngwe2

nominoPlural ngwe

  • 1

    kamba ndefu iliyosokotwa kwa miyaa inayovutwa wakati wa uvuvi wa juya.

    mtambo

Matamshi

ngwe

/n gwɛ/