Ufafanuzi wa ni katika Kiswahili

ni

kitenzi sielekezi

  • 1

    neno linaloainisha ukubaliano wa kitu au hali katika wakati uliopo; kinyume cha si.

    ‘Mbili na mbili ni nne’
    ‘Juma na Ali ni ndugu’

Matamshi

ni

/ni/