Ufafanuzi wa nidhamu katika Kiswahili

nidhamu

nominoPlural nidhamu

  • 1

    utaratibu mzuri wa kuendesha jambo.

  • 2

    adabu, heshima, staha

Asili

Kar

Matamshi

nidhamu

/niðamu/