Ufafanuzi wa nimonia katika Kiswahili

nimonia

nominoPlural nimonia

  • 1

    ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na bakteria wanaodhoofisha mfumo wa upumuaji.

    mkamba, kichomi

Asili

Kng

Matamshi

nimonia

/nimɔnija/