Ufafanuzi wa ninga katika Kiswahili

ninga

nominoPlural ninga

  • 1

    ndege jamii ya njiwa lakini mkubwa zaidi, ana rangi ya kijani mwili mzima na miguu myekundu, hupendelea kuishi juu ya vilele vya miti na kula matunda.

Matamshi

ninga

/ninga/