Ufafanuzi wa nini katika Kiswahili

nini

kiwakilishi

  • 1

    neno litumikalo kuulizia kitu au tendo linalofanywa; kitu gani.

    ‘Hiki nini?’
    ‘Unafanya nini ?’

Matamshi

nini

/nini/