Ufafanuzi wa nira katika Kiswahili

nira

nominoPlural nira

  • 1

    kipande cha mti au mbao afungwacho ng’ombe au farasi shingoni anapolima au anapokokota gari ili aweze kuongoza vizuri.

    kitaya

Asili

Kar

Matamshi

nira

/nira/