Ufafanuzi wa nitrojeni katika Kiswahili

nitrojeni

nominoPlural nitrojeni

  • 1

    gesi iliyoko katika hewa isiyokuwa na rangi, harufu wala ladha na ambayo ni sehemu nne ya tano ya jumla ya hewa yote.

Asili

Kng

Matamshi

nitrojeni

/nitrɔʄɛni/