Ufafanuzi wa njaa katika Kiswahili

njaa

nominoPlural njaa

  • 1

    hali ya mtu kujisikia kuwa anahitaji chakula.

  • 2

    ukosefu mkubwa wa chakula.

    ‘Mwaka huu kutakuwa na njaa’

Matamshi

njaa

/nʄa:/