Ufafanuzi wa njama katika Kiswahili

njama

nomino

  • 1

    maafikiano au mapatano ya kufanya jambo baya dhidi ya mtu au watu wengine.

    mzengwe

Matamshi

njama

/nʄama/