Ufafanuzi wa njana katika Kiswahili

njana

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya changu mwenye rangi nyekundu.

Matamshi

njana

/nʄana/