Ufafanuzi wa njegere katika Kiswahili

njegere

nominoPlural njegere

  • 1

    punje ya mviringo ya jamii ya kunde yenye rangi ya kijani au manjano inapokomaa.

Matamshi

njegere

/nʄɛgɛrɛ/