Ufafanuzi msingi wa njia katika Kiswahili

: njia1njia2

njia1

nominoPlural njia

 • 1

  sehemu inayotumiwa ili kupitia.

  ‘Njia ya reli’
  methali ‘Njia mbili, zilimshinda fisi’
  barabara, kichochoro, sabili

Ufafanuzi msingi wa njia katika Kiswahili

: njia1njia2

njia2

nominoPlural njia

 • 1

  namna au jinsi ya kufanya au kupatia jambo.

  ‘Njia za kufundishia’
  ‘Njia za uchumi’
  ‘Njia za mawasiliano’
  methali ‘Njia ya mwongo, ni fupi’

Matamshi

njia

/nʄija/