Ufafanuzi wa njongwanjongwa katika Kiswahili

njongwanjongwa

kielezi

  • 1

    kwa kupiga misamba na kwa polepole k.v. mtu mrefu sana anavyokwenda.

    ‘Enda njongwanjongwa’

Matamshi

njongwanjongwa

/nʄɔngwanʄɔngwa/